Zuchu – Sukari Lyrics

Zuchu - Sukari

Zuchu Sukari Lyrics

DOWNLOAD AUDIO

Lyrics below,

Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza
Tena nikiizidisha
Ananiamba Koleza
Nikitaka kusitisha
Aniamambia Ongeza
Japo imethibitishwa
Ila itampoteza
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndio Hatari
Asijepata madhara
Akaitwa sanaani
Radha yake msalaha
Shira ya kizanzibari
Nami simpi miwala
Akitaka nampa

Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)

Na akilia njaa
Junjaa Sifanyi hajizi
Namjazia Jaa Juja na zitangawizi
Baba chanja Baba Chanja (Eeee)
Chukua vyote Chukua (Kulaa)
Vitafune ganja ganja (Eeee)
Chakua mwaya Chakua (Kulaa)
Ujibusti na karanga (Eeee)
Tuliza na kitumbua (Kulaa)
Jiadhali na majanga Wee
Usije ukaugua
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndio Hatari
Asijepata madhara
Akaitwa sanaani
Radha yake msalaha
Shira ya kizanzibari
Nami simpi miwala
Akitaka nampa

Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)

Nimroge kwa nini kashanugewa
Utamu wa sukarini Tamu kolea
Da dambua Wee dambua
Alua alua dambua
Da dambua Wee dambua
Inama kama unafua
Kigulu nyanyua

Share Zuchu Sukari Lyrics with your friend and drop a comment with us.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*